top of page

UJUMBE na MALENGO

Shirika La Tabibu wa Kutumia Maigizo Duniani linashirikisha wataalamu wote to kuimarisha taaluma yao kote ulienguni.


Lilianzishwa mwaka 2017, malengo ya shirika hili ni kutoa fursa kwa kila mwanchama to kubalishana habari,kubalishana utafiti and ushirikiano kati ya mataifa mbalimbali and lugha tofauti.

Juhudi za muungano huu zinahuzisha mawasiliano kati ya waakilishi huku ukidumisha uwepo kwenye mtandandao kwa watu was lugha tofauti kushiriki habari and matukio, kushirikisha mukutano wa kimataifa wa wiki nzima wa utabibu kupitia maaigizo, Kushirikisha mkutano wa kimataifa wa utafiti baada ya miaka minne na kuimarisha utafiti wa kimataifa katika taalumaa hii. 

Utabibu wa kutumia maaigizo hunakiliwa kama neno moja au maneno mawili kadri na matakwa ya mashirika ya taifa ya ushauri. Kujifunza mengi, tafadhali tazama wanachama wa mashirika yetu.

 

Waanziliishi wa muungano ni Nisha Sajnani(Marikani/Canada), Ayson Coleman(Uingereza), Joanna Jaaniste(Australia), Jason Butler(Marikani na Canada), Stelio Krasanakis(Ulaya), Suasan Pendzik(Israeli), Majid Amraei(Iran), Ravindra Ranasinha(Sri Lanka), and Sol Guerrero(Argentina)
 

Cities around the world

Translation provided by (N/A)

bottom of page